Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
3. Sep, 09:22
Utambulisho wa Tangazo: 2094291
TSh 45,000

Aloe vera gell tube

Other Tabora District Tabora
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

ALOE VERA GELLY(TUBE)

Ina kiiwango cha Aloe Vera kwa zaidi ya 90% ambayo ni bidhaa asilia. Hutumika kwa ngozi ya aina yoyote ile whether ya mafuta au kavu, kwani inaendana na PH ya ngozi yoyote.

FAIDA ZAKE KWA NGOZI NA AFYA.

 1. Ni Huduma ya kwanza kwa nyumbani na familia kwa ujumla.

 2. Husaidia kwa wale wenyechangamoto ya majelaha ya vidonda whether kuungua, kujikata na kitu, kuumia, kung'atwa na mdudu n.k

 3. Huwasaidia wale wenye changamoto za tumbo la aina yoyote ile, Liwe la kuhara, tumbo la period kwa akina Dada zetu basi TUMIA HII KWA KUIMESA INASAIDIA KWENDA KUTULIZA NA KUKATISHA KWA ILE HALI.

 4. Pia kwa wale wanaosumbuliwa na MENO, whether limetoboka au linakuuma, basi iweke sehemu husika kwa msaada zaidi. Maana itakusaidia kwenda kuua bacteria.

 5. Huwasaidia wale waendao kufanyiwa OPERATION. Sasa kabra au baada ya kufanyiwa ukiwa unashonwa basi paka hiyo itaenda kuusaidia na kupona pasipo kovu.

 6. Ni lotion nzuri kwa watoto wadogo.

 7. Huwafaa wale wote wenye changamoto ya vijipele vidogo vidogo, mba, rushes n.k

 8. HULAINISHA NGOZI.
  Hivo ni nzuri kwa wale wenye changamoto ya kuchana vyandalua(Magaga), na wanao chana nguo za ndani kwa makalio.

 9. Hutumika kama KILAINISHI WAKATI WA TENDO LA NDOA.

Geoffrey Mourice
Mwanachama tangu 2. Sep 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!