Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
15. Jul, 10:57
Ad ID: 1967590
TSh 3,500

pilipili

Dodoma Mjini Dodoma
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Mama Muggy Products nakuletea pilipili nzur za kutengeza za embe kwa bei nafuu kabisa, pilipili husaidia katika mmeng'enyo wa chakula kufanya kazi vizuri na kuupa joto mwili... huleta hamu ya kula.. .
bei zangu ni nafuu na popote ulipo unaletewa na kutumiwa...wahi sasa fursa nzuri pia kwa wanaoanza biashara maana nauza pia kwa bei ya jumla...
kwa anaechukua kuanzia tano kwa mills 250 ntamuuzia 2500 ambapo yeye atauza 3500... na za mills 500 nitamuuzia kuanzia 10 kwa 3500 yeye atauza 4500 hadi 5000...

karibuni sana

Monica
Member Since 8. Aug '19 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.