Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Monday, 13:30
Ad ID: 1361642
TSh 11,000,000

Audio Processor Punguzo la Krismasi!

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Tunakuletea bure Mkoa wa Dar es Salaam, Miji ya Kibaha na Bagamoyo. Mikoani tunatuma kwa Sh. 20,000/=. Ukitaka kutumiwa kwa njia ya ndege upate siku hiyo hiyo ongeza Sh. 120,000/=.

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Audio Processor kwa ajili ya Radio na TV imepata punguzo la mda maalum wa X'mas 2019! Hivi sasa inapatikana kwa bei ya punguzo la 15%, toka Sh. 12,750,000/= hadi 11,000,000/= tu, ikiwa ndani ya Box lake jipya la kufungashia zawadi!

Sifa zake: ina switchi 22 za DSPs kuufanya mdundo uwe wa kukita bila mikwaruzo. Una Band 6, una mtambo wa AGC (Automatic Gain Control) unao rekebisha na kusawazisha mdundo.

Ni rahisi kuseti. Whatsapp 0754 34 92 81

dpmoyo@yahoo.com
dpmoyo@yahoo.com
Member Since 23. Jan '16 4 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.