Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Speaker Kubwa Za Nje/Ukumbini Au Kanisani

TSh 900,000
Ad ID
1123603
Posted at
1. Aug, 16:10
Details
Delivery Offered
Yes
Price negotiable
Yes
Condition
New
Location
Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Description

Spika kubwa za kutumika nje, Ukumbuni au Kanisani. Kila box lina spika 3. Jumla spika 6. Besi, Midi na twita.

Amplifaya kubwa, equalizer njia 5, inaingiza sauti kupitia computer/Laptop, maikrofoni 2 za wireless, radio, Flashi, Memory kadi au simu kwa kutumia Blue tooth.

Nzuri sana kwa anayeanza matangazo ya nje kwani hazina vikorokoro vingi vya kunyonga nyonga.

SAUTI KUBWA kwa bei KIDOGO! Crossover imo ndani, kwa hiyo sio rahisi kuunguza spika.

Zinatumia umeme na Betri. Betri inadumu masaa 8.

Zina Microphone 2 wireless, zinatumia USB, MEMORY CARD, BLUETOOTH, EQUALIZER. Pia ina radio.

Tunakuletea popote mikoani. Unazijaribu ndipo unalipia. Hatuchukui advansi hata shilingi!

Elimu haina mwisho: “Tumia wireless microphone mbali na spika kuepusha sauti za kujirudia rudia (mwangwi) na miluzi yenye maudhi”.

Kwa elimu zaidi kuhusu Studio za redio na production ongea na gwiji la mitambo

Jasiri
Member Since 28. Jul '12 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.