Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
6. Jun, 21:28
Ad ID: 1876264
TSh 950,000

Point Of Sale (POS) Dukapro Business Software

Moshi Kilimanjaro
Seller offers delivery

Tuna ofisi dar na Moshi Kwa wanaohitaji huduma nje ya mikoa hiyo miwili tunawfikia ispokua nauli ya go and return na reservation ni juu ya client mwenye

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Ni system nzuri Sana ya usimamizi ya maduka jumla na rejareja supermarket, pharmacy, liqour store, Agrovets, hardware..nk ??

Inakujulisha bidhaa kabla hazijaisha, ku-expire/zenye muda mrefu dukani, madeni muda wa malipo ukifika, ukigusa mtaji wako, inakufanyia hesabu zako, inadhibiti udanganyifu, unaweza i-access ukiwa popote, unaweza itumia na mashine yoyote ya risit (EFD/THERMAL PRINTER), barcode scanner, cash drawer,bima Aina zote kwa wenye pharmacy..nk ??

Tuwasiliane ukihitaji mkuu itawafaa Sana napatikana stendi ya mboya hapa gorofa ya rim safari ??

IT man
IT man
Member Since 4. Jan 2 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.