Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
12. Oct, 12:31
Ad ID: 2192116
TSh 120,000

SMARTWATCH X7 SERIES BRAND NEW.

Ilala, Tabata Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free Deliver on time!

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

SIFA ZAKE

✅ INA TUMIKA KWA SMARTPHONES ZOTE IWE IPHONE AU ANDROID

✅ Ina badilishika mikanda, ukihitaji mikanda ya ziada tunayo pia

✅ Ina uwezo wa kupima mapigo ya moyo, calories ulizotumia, ECG nk.

✅ Steps ulizotembea Zita display kwenye Kioo chake.
✅ Kioo chache ni touch control na kipo very smooth.

✅ Ukiunganisha na simu yako utaweza kupata taarifa zote muhimu (notification) ,zote za Whatsapp, fb, Instagram nk.

✅ Utaweza kupiga na kupokea kwa Bluetooth call.

✅ Ina ant lost function, ukisahau mahali ulipoweka simu, itakusaidia kutafuta.

✅ Ina wallpapers zaidi ya 10, so utaweza badili anytime ukihitaji.

✅ Hii saa ni unique sana na ni nzuri sana utaipenda
✅ INA SOUND RECORDER,ALARM,B-MUSIC

✅ NI SAA NZURI PIA KWA MAZOEZI KWANI UTAWEZA KU SET GOALS, NA KUNA SETTINGS ZA MAZOEZI KAMA KURUKA KAMBA, KUKATA TUMBO, TENNIS NK.

✅ ORIGINAL, INA WARRANTY

✅ Bei Tsh 120,000/=

☎️ TUPIGE SASA 752886244

? Free deliver

NipeDili store
NipeDili store
Member Since 10. Jan 5 Total Ads / 5 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.