Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
11. Aug, 23:25
Ad ID: 1555022
TSh 55,000

Smart watch v8 (black)

Ilala, Segerea Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Ontime

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

Smart watch (v8)⌚⌚⌚ ni saa ya sim janja unayoweza kuweka laini moja na memorycard na kuitumia kama simu nyingine ya kawaida kbsa ina bluetooth ambayo utaweza kuiunganisha na simu yako ili upate taalifa zote za simu yako kama ipo umbali wa ndan ya mita 15

inakaa na chaji siku nzima ???
unaichaji lisaa 1 tu⏲⏲⏲
nakuletea ikiwa mpya full box ??? yaani saa yenyewe ikiwa na betri moja na usb tayali kwa matumizi
unaweza kupiga nakupokea sim kama kawaida ?
Ni kioo chake ni cha touch ?
inasound kubwa kama simu ya kawaida kabisa ⏮⏸⏭
??? kwa Dar es salaam nakuletea mpaka ulipo na kwa mikoani natuma kwa njia ya bus ???
#karibu

Sidymdy
Sidymdy
Member Since 18. Jul '19 4 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.