Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Tukuza Herbal Jelly

TSh 3,000
Ad ID
891647
Posted at
11. Dec '17, 10:01
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Tukuza Herbal Jelly
Faida:
Huondoa mba za kichwani, usoni, sehemu za siri na miguuni; huondoa vipele vya usoni, miwasho, vipele vya ndevu, mikunjo na madoa usoni; hukinga ngozi dhidi ya mionzi mibaya na huua bakteria.
Hakuna kemikali ndani ya bidhaa hii!
Vilivyomo:
Vitamin, Asidi na Madini muhimu kutoka kwenye Michikichi, Limau, Matango, Shubiri Mwitu, Mwarobaini, mkaratusi na nta ya nyuki.
TUMIA BIDHAA HII NA UONE MATOKEO NDANI YA WIKI MOJA
BIDHAA HII NI KWA MATUMIZI YA KUPAKA NGOZI TU
Matumizi
Paka sehemu yenye tatizo mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni), kama tatizo ni kubwa unaweza kupaka mara tatu kwa siku (yaani asubuhi, mchana na jioni)
Tatizo likizidi, mwone daktari!

Constantine
Member Since 11. Jun '13 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.