Palmer's Cocoa Butter Moisturizing Gel Oil

TSh 40,000
Ad ID
850648
Posted at
24. Oct, 09:57
Details
Price negotiable
Not Applicable
Condition
New
Location
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
Description

Hii kitu isikupite kwa gharama yoyote ile!
Kwann?
Utaipaka mwili mzima ikikupa Ile shine ya papo hapo kama una rangi ya Maji ya Kunde basi Ndo kabisaaa!
Umo ndani kuna cocoabutter, sheabutter, Vitamin E na jojoba Oil ivi ngozi yako unaipa vitu gani vizuri zaidi ya ivi!
Sun Protective Factor ya 15% Itakuacha salama dhidi ya mionzi mikali ya Jua.
Pia Mafuta haya ni mazuri/yanafaaa kwa matumizi ya massage (mutipurpose)
Cha AJABU kuhusu haya mafuta ukiyapaka MBU hawakusogelei kabisa.

 AK Classic Cosmetics
AK Classic Cosmetics
More from this Seller Member Since 13. Apr '15 10 Active Ads Active Ads 107 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.