Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
12. Jul, 10:28
Ad ID: 1462483
TSh 8,500

MABATI

Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Tunauza Bati bora zisizopauka kutoka Kampuni ya ALAF, SUN SHARE na AFRINA, Kwa bei nzuri ya punguzo kutoka Kiwandani.

Tuna Mabati ya Migongo Mipana IT 5(M-south), bei kwanzia 8,500/= hadi 17,100/= kwa mita 1 kutokana na upana na gauge.

Tunayo Mabati ya Migongo Midogo ya rangi na yasiyo ya rangi (Meupe), bei kwanzia 20,000/= hadi 30,000/= kwa Bati moja la mita 3(futi 10).

Tunazo Kofia, Valley na Misumari ya Bati.

Angella
Angella
Member Since 4. Oct '12 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.