Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Tuesday, 16:23
Ad ID: 1641220
Application deadline 10. Dec

MKUU WA SHULE

Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Details
Application deadline
2019-12-10
Business / Employer name
ELCT- ECD
Company Industry
Education
Job Level
Management level
Work Type
Full Time
Minimum Qualification
Bachelor
Years of Experience
5 years
Description

SIFA ZA MWOMBAJI:

 • Awe na Shahada ya kwanza ya Elimu au Shahada ya uzamili ya Elimu
 • Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika nafasi ya Mkuu wa Shule/Makamu Mkuu wa Shule/Mwalimu wa Taaluma
 • Awe na umri kuanzia miaka 40
 • Awe ni Mwanamke

MAELEZO JUU YA KAZI NA UWAJIBIKAJI

 • Atawajibika kwa Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii
 • Atakuwa Mkuu wa Shule,
 • Atakuwa Muwajibikaji na Mtendaji Mkuu kwa Mambo yote ya Shule na Katibu wa Bodi ya shule.
 • Atatasimamia na kutekeleza Maagizo na Maelekezo ya Bodi, Dayosisi na Serikali.
 • Atakuwa Muitishaji wa vikao vya Bodi, Walimu, Watumishi, na vingine vyote kwa mujibu wa Kanuni na Matakwa ya Madaraka yake.
 • Atakuwa Msimamizi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Dayosisi.
 • Atakuwa Mtafsiri na Msimamizi wa Utekelezaji wa Ndoto ya Dayosisi na ya Elimu Kitaifa.
 • Atakuwa Mdhibiti Mkuu wa Mapato na Matumizi ya shule.
 • Atakuwa kiungo kati ya Wazazi/Walezi, Wanafunzi, Walimu na Watumishi.
 • Atakuwa Msimamizi wa Uandaaji na utekelezaji wa Mpango Mkakati wa shule.
 • Atakuwa Msimamizi na Mboresheji wa Miundo mbinu ya shule.
 • Atasimamia Maslahi ya Dayosisi wakati wote wa Utumishi wake.
 • Atafanya kazi nyingine yoyote atakayoagizwa na Bodi au Mmiliki wa shule

TARATIBU ZA KUTUMA MAOMBI

 • Maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya Taaluma
 • Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 Disemba 2019

MAOMBI YATUMWE KWA:

KATIBU MKUU

KKKT: DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

Luther House Building,

P.O. Box 837,

DAR ES SALAAM.

Email: [email removed]

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MKUZA inatafuta MKUU WA SHULE haraka!

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
bm_tz
Member Since 20. Nov '17 569 Total Ads / 159 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Apply for this job
To apply for this job, please go to the following website https://www.brightermonday.co.tz/job/mkuu-wa-shule-p60xx0
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.