360 Sqm Plot at Kerege

TSh 5,400,000
Ad ID
714849
Posted at
20. Apr, 20:30
Location
Bagamoyo Pwani Kerege , mbele kidogo ya Bunju
Description

Pata plot yako sasa kwa gharama nafuu sana.

Terms of payment: ni unaweza lipa cash ama kwa mkopo wa miezi 12 , yaani mwezi wa kwanza unalipa 25% then 10% kwa miezi 4, then iliobaki unalipa 5% kwa miezi 7

Kupima na kukupatia hati ni kazi ya kampuni, pale tu unapomaliza rejesho lako, , kiwanja kipo sehemu nzuri na miundo mbinu, yote ya msingi ipo karibu.

wasiliana nasi kwa maelezo zaidi. Tupigie simu (click show number) Karibuni sana!

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Semela L. Madulu
Member Since 11. Mar '16 543 Active Ads 768 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.