Refilled/Refurbished Toner Cartridge

TSh 50,000
Ad ID
817664
Posted at
18. Sep, 08:12
Details
Price negotiable
Yes
Condition
Refurbished
Brand
Other
Location
Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
Description

Njia nyingine ya kupunguza gharama za wino kwa ajili ya printer yako ni kununua au kutumia cartridge za kurefill (refurbished cartridge). Kwa vile unanunua kutoka kwetu ubora wa cartridge zetu ni sawa na wa cartridge original. Tupigie tukujazie wino wa printer yako na upunguze gharama za kununua wino.
Usitupe cartridge iliyoisha wino kwani unachafua mazingira, tutafute tukusaidie kujaza.
Usitupe cartridge ya printer yako iliyoisha wino kwani bado inaweza kuendelea kutumika.Punguza uchafuzi wa mazingira tututafute tukujazie wino wenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.

 Koka
Koka
Member Since 12. Dec '15 1 Active Ads Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.