Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Women Solar Network

TSh 170,000
Ad ID
986138
Posted at
15. Mar, 15:19
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Location
Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Description

• Tuna Solar Women Network ili kujenga Kipato kwa Kina mama na hivyo kupunguza unyanyasaji wa kijinsia.
• Tunaamini, nishati ya jua si kwa nyumba tu ambazo hazina umeme bali hata nyumba zenye umeme ni muhimu na karabai za solar ili kupunguza majanga ya moto yatokanayo na matumizi ya mishumaa wakati umeme ukikatika. Kwa vijini, karabai za solar ni muhimu zaidi kwani hazitumii gharama za mara kwa mara kama kununua mafuta ya taa hivyo hupunguza umaskini wa kipato. Na hii ndio mantiki ya kuanzisha Mkakati wa Solar Kila Kaya (SOLARWOMENET) kwa Nchi Nzima.

LornaAkinyi
Member Since 13. Mar 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.