Pawpaw’s Seedling (Miche Ya Papai Ya Kisasa, Malkia F1)

TSh 5,000
Ad ID
773888
Posted at
15. Sep, 09:58
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Location
Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Description

Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan.
Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini.
Kila mpapai ubeba matunda yasiyopungua 85, mpaka 110. Mapapai haya nyama yake ni nyekundu na ni matamu sana. Mapapai haya yanauwezo wa kukaa ndani baada ya kuvunwa kwa wiki mbili bila kuoza na katika mti wake yanaweza kudumu kwa miezi 3.
Haya ni mapinduzi makubwa katika kilimo cha mipapai.
Mapapai haya uanza kuvunwa yakiwa na umri kati ya miezi 6 - 8, na uendelea kutoa matunda mfululizo bila kukoma kwa miaka 5.
Karibu katika kilimo chenye manufaa makubwa na chenye uwezo wa kubadiri maisha yako.
Tunalo shamba la mfano maeneo ya kigamboni, unaweza tembelea kujifunza zaidi juu ya kilimo hiki.

Pia tuna supply na kufunga irrigation systems mashambani kwa bei nafuu kabisa.

JANJAN Company Limited
Member Since 23. Oct '16 1 Active Ads Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.