Magic Multi Socket Outlet Extension

TSh 99,000
Ad ID
850953
Posted at
26. Oct, 14:54
Details
Price negotiable
Not Applicable
Condition
New
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description

Magic Multi-socket Outlet Extension

Ni muunganiko wa cable-extension ya umeme yenye njia 6 + control box ( pichani ) yenye kukupa uwezo ufuatao:

 1. Kuwasha na kuzima vifaa vya umeme hususani friji,feni,friza,nk,tv,desktop computer,n.k, kwa njia ya SMS.

 2. Hukupa NJIA 6 ( ayo matundu katika extension pichani ) zote zikiwa na uwezo wa kua 'controlled' na SMS kwa kutumia 'commands' tofauti , ambazo hazitegemeani.

Mfano: A1 utawasha kifaa kilichopachikwa katika njiaA, na A2 ni kuzima.
B1 utawasha kifaa kilicho pachikwa katika njiaB na B2 ni kuzima
.....njia huazia A mpaka F ambapo hutegeneza idadi ya njia 6 jumla.

Kila unapofanya kuwasha/kuzima, utapata mrejesho kwa njia ya SMS.

 1. Zipo 'commands' nyingine nyingi mfano: WASHA hapa utaweza kuwasha njia zote 6 kwa mkupuo na ZIMA hapa utaweza zima zote kwa mkupuo na kukuletea mrejesho.

 2. 'Commands' kama SCAN itakuwezesha kupata ujumbe/mrejesho mfupi ikionesha 'status' za vifaa/njia husika, ipi ipo ON ipi ipo OFF.

mfano wa status message. a. fridge is ON

 1. Ikumbukwe 'commands' zote ni SMS na hutumwa katika namba ya simu iliyopachikwa katika control box ( rejea pichani ).

 2. 'Time-based Control' , huu ni mfumo unaowezesha kuwasha njia/kifaa husika kwa kutumia mda wa saa. mfano: C+1235 0250 , hii command itawezesha njiaC kuwaka saa '12:35' itaendelea kuwaka na kuzima saa '02:50' KILASIKU na utaset mda mara moja tu.

Mda huu unahifadhiwa katika kumbukumbu ya mfumo ndio maana utseti mara moja ,waweza kubadili pale utakapoamua.

nb: mfumo wa mda ni masaa 24.

 1. 'Command' WATCH hii italeta mrejesho wa njia zote 6 zikiambatana na 'time-setting' uliyoseti.
  mfano a. 1235,0250

 2. 'Power-Back Surge Voltage Protection' , humpa uwezo mtumiaji ku seti wait-time, ili vifaa visiwe 'exposed' na umeme usiotulia 'fluctuations+surges+transients' pale umeme unaporudi ghafla.

Hii hulinda vifaa vyako dhidi ya Over-voltage pindi umeme inaporudi ghafla.

mfano: command delay3 , apa utaipa mfumo wako isubiri dakika 3 kabla ku 'engage' vifaa vyote mara tu umeme unaporudi.

nb: mathalan unataka 'wait-time' ya dk 8 then command husika ni delay8

 1. Uwezo wa kila njia apa ni 10A , 230VAC , kwa maana huruhusiwi kupachika vyombo vikubwa kama jiko la umeme (cooker) , mashine ya welding, nk,

nb: rejea chombo husika kuangalia 'rating' yake.
Kama una mashine kubwa zaidi ya apo , naweza kukusaidia kwa ushauri.

 1. Ikumbukwe pia huduma hii inatumia SMS za kawaida , aidha ziwe za kifurushi au za kuchoma 'credit'
  umbali wowote ule ndani au nje ya nchi.

Utapata warranty ya Mwaka 1

Specs: 10A , 230VAC , 1.0 sq. mm Cu@njia plus 2.0m 3core @ 1.5 sq. mm Cu tail cable.

Kwa sasa tunauwezo wa kusuka unit 2 kwa siku moja.

Karibuni.

kassimsamji
Member Since 5. Oct '12 1 Active Ads Active Ads 7 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.