Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Forever Multi Maca

TSh 67,000
Ad ID
938008
Posted at
24. May, 12:53
Details
Price negotiable
No
Location
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
Description

Bidhaa hii ni kirutubisho(Dietary Supplement) ambacho kimeendelea kua msaada mkubwa kwa watu wanaosumbuliwa na matatizo ya uzazi na nguvu za kiume. MACA ni kirutubisho kilichoandaliwa kutoka kwenye mmea wa MACA unaopatikana kwa wingi nchini Peru. Wanawake nchini Peru walikua wakitumia mizizi ya mmea wa MACA kwa ajili ya kujiondolea uchovu mwilini mwao na msongo wa mawazo baada ya kufanyiwa utafiti na wataalamu mmea huu ulionekana kua ni msaada mkubwa si tuu kwa uchovu na msongo wa mawazo ila pia kwa watu wenye matatizo ya nguvu za kiume na kwa ajiri ya kurutubisha mayai katika mfumo wa uzazi wa jinsia zote. Kirutubisho hiki kutoka Forever ni suluhisho ya matatizo yafuatayo.

  1. Kutokua na hamu ya tendo la ndoa
  2. Mayai kutorutubika kwa wanawake hupati mtoto
  3. Watu wenye msongo wa mawazo
  4. Mbegu za kiume kua chache
  5. Joto kali (hot flashes) la kukomaa kwa hedhi
  6. Unakua mkavu wakati wa tendo la ndoa
  7. Kutokumudu kufanya tendo la ndoa kikamilifu.(Kushindwa kuendelea baada ya mshindo wa kwanza)
 Christian
Christian
Member Since 27. Nov '17 2 Active Ads 6 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.