Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
26. Jun, 16:11
Ad ID: 1453921
TSh 10,000

Chia Seeds 1Kg

Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery Dar es salaam

Details
Price negotiable
No
Description

Mbegu za chia zimeshehena virutubisho vingi vya kuboresha na kuimarisha mwili kama vile antioxidants, mafuta ya omega-3, madini mbalimbali,

Chia inakupa faida zifuatazo:

 1. Kulainisha ngozi na kupunguza dalili za uzee (k.m. kuongeza uwezo wa kubana mkojo kwa wazee),
 2. Kupunguza uzito (zitumie pamoja na kupunguza kiwango cha chakula),
 3. Kupunguza uchovu (zinafaa kwa wanamichezo na wazee),
 4. Kusaidia mwili kupambana na kansa (anti cancer) na maradhi mengine,
 5. Kulainisha mfumo wa chakula na hivyo mtumiaji kuwa na choo kizuri kilichoshikana.
 6. Kupunguza shinikizo la damu,
 7. Kupunguza au kuponyesha matatizo ya Kisukari,
 8. Kuimarisha misuri,
 9. Kwa sababu ya kuwa na madini ya Calcium kwa wingi, chia inaimarisha mifupa na meno. Pia inafaa kwa wajawazito na mama wanaonyonyesha,
 10. Asilimia 20% ya Chia seeds ni mafuta aina ya OMEGA -3, Kwa hiyo chia inaboresha uwezo wa kumbukumbu (memory), na inafaa kwa watoto na wazee. Chia ni mbadala wa mafuta ya samaki (Cod Liver Oil) ambayo hupatikana kwenye maduka ya madawa. Uzuri wa chia ni kwamba unapata OMEGA-3 bila shombo.
 11. Chia inasaidia kupunguza sumu mwilini, n.k.
  Kutokana na virutubisho vingi na madini (minerals) inafaa kwa wajawazito na wanaonyonyesha.

MATUMIZI:
Weka kijiko 1 hadi 2 vya chakula kwenye chai, uji, juice, mtindi, n.k. koroga koroga kwa zaidi ya dakika 3 kabla ya kuywa. Tumia mara 1 au 2 kila siku. Kunywa maji mengi utumiapo Chia (zaidi ya lita 1.5 kwa siku). Kwa kupunguza uzito, kunywa maji au chai na kitafunwa kidogo usikiapo njaa sana.

kazimotoabbot@live.com
kazimotoabbot@live.com
Member Since 3. Aug '13 6 Total Ads / 6 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.