Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Apple Cider Vinegar Organic

TSh 50,000
Ad ID
1016615
Posted at
17. Apr, 16:41
Details
Price negotiable
Yes
Location
Arusha Mjini Arusha
Description

Jipatie Apple Cider Vinegar Organic Kutoka USA. Apple Cider Vinegar inasaidia kupunguza tumbo na manyama uzembe, nInasaidia kuondoa dandruff kwenye nywele muwasho kwenye ngozi kichwani,

Pia unaweza oshea uso ikaondoa chunusi au kujisuuzia nayo mwili na ukashine vizuri Sana, Unaweza oshea miguu wale wanao nuka miguu, Inasaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa wale wanaonuka midomo,

Apple Cider Vinegar Kubwa 946 ml 70000/= TSHS Apple Cider Vinegar Ndogo 473 ml 50000/= TSHS

Faida za Matumizi ya Apple Cider Vinegar Organic zipo nyingi mno

kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia Simu au watsup au follow our instagram page @beauty_within_ltd @beauty_within_ltd @beauty_within_ltd #NoFakeZone #BeautyProduct #Beauty&Fittness

Paviciah
Member Since 13. Apr 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.