Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
10. Jun, 15:33
Ad ID: 1437072
TSh 68,000

Aloe Vera gel

Ilala, Gerezani Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Description

DALILI ZA MWILI WENYE SUMU NYINGI*
Kimsingi ni Kwamba tunaingiza Sumu nyingi saana Mwilini siku hizi kutokana na Mfumo Wa maisha tunaoishi. Hewa tuvayovuta Kuna Uchafuzi Mkubwa, Vyakula tunavyokula lakini pia Madawa ya Kisasa yana Kiwango cha Kemikali Fulani. Zifuatazo ni Dalili hizi....
1.Uzito uliozidi na Hautoki /Haupungui kirahisi Kwa kufanya Diet au Mazoezi (Ukipungua Unarudi tens Haraka)
2.Kuchoka Ovyo Kusikoelezeka.
3.Kukosa Usingizi (Kuwa na Stress hasa Usiku)
4.Kushuka Uwezo Wa Kufikiri (Fuzzy Thinking)
5.Maumivu Ya Kichwa Mara Kwa Mara.

 1. Kuwa na Mood mbaya Mara Kwa Mara (Kukasirika Haraka)
 2. Mwili kutoa Harufu mbaya. (Jasho Kali saana, mdomo au Kutoa Choo Chenye Harufu Kali kuliko Kawaida.
 3. Kupata Choo Kigumu (Kukosa Choo Kwa Siku Kadhaa) au kupata Mara moja Kwa siku nzima wakati umekula zaidi ya Mara 2.
  9.Maumivu ya Misuli yasiyoelezeka.
 4. Ngozi Kukosa Nuru
 5. Kuwa Sensitive saana na Harufu na Kuhisi Harufu nyingi zinakuumiza
 6. Kuwa na Hamu kubwa ya Vyakula hasa vyenye Mafuta Mengi, Sukari nyingi na Chumvi Nyingi.
  13 kutokwa na chunusi usoni
  14.sura kuzeeka
  15.mkojo wa rangi
  16.kumbukumbu kupotea
  *Kama Una Kati ya Dalili Kuanzia 3 kati ya Hizi tambua Kuwa Mwili wako unahitaji Kuondolewa Sumu.
Bertha Bersy
Bertha Bersy
Member Since 15. May 8 Total Ads / 8 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.