Modern Commercial Building at Magomeni Mapipa

TSh 1,200,000,000 / m²
Ad ID
726860
Posted at
12. Oct, 18:16
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
520 m²
Amenities
  • Other
  • On Paved Road
  • Shaded Car Port
  • Air Conditioning
Location
Magomeni Mapipa
Description

Hili gorofa linauzwa lipo magomeni mapipa Mtaa wa shoka sokoni magomeni ukiwa unatokea Kigogo kuelekea Kinondoni ukivuka kituo cha Mikumi kabla ya Sheli ya mataa kuna mtaa hapa nyuma imeingia kushoto unaelekea sokoni kwenye bango kubwa la Vodacom ukiingia tizama mkono wako wa kulia baada ya gorofa la kona kawawa na shoka linalofuata ndio hilo kuna mgahawa wa kisasa chini unafahamika Mikumi restaurant juu kuna apartment 2 amepangisha million moja kila apartment zina vyumba 3 sitting na daining master bedrooms mbili, maji na luku kila sehemu na chini kuna parking na frem za kisasa za maduka na frem kapangisha za nje 400,000 na ndani 250,000 kwa mwezi. Nyumba msingi wake na kibali ni wa gorofa 8 na lift.

Ina title na sqm 520.
Jengo linauza billion 1.2
Ila maongezi yapo ya kutosha

Tunakaribisha offer yako

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Kasobile Property
Member Since 29. Oct '13 427 Active Ads Active Ads 672 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.