Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
31. Dec '19, 08:54
Ad ID: 1622067
TSh 206,000

Arg+

Ilala, Gerezani Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

ZiFAHAMU FAIDA ZA ARGI+

Hii ni bidhaa iliyotengenezwa na mchanganyiko Wa matunda mbalimbali (pomegranate, red wine extract na grape skin). Bidhaa hii ina L-Arginine kwa wingi.L-Arginine ni amino acid (protein) inayofanya kazi mbalimbali muhimu mwilini kuanzia kuziimarisha kazi za seli za mwilini na kutebgeneza nitric oxide kwa wingi.

L-Arginine ni protein ambayo inasaidia kuichukua na kuibadilisha nitric oxide iweze kuwa oxygen hivyo kuimarisha mzunguko Wa damu mwilini.

Husaidia mishipa ya damu kufunguka na kutoa uchafu uliogandiana katika mishipa hii kama mafuta mabaya (cholesterol) na kusaidia damu kusafiri sehemu mbalimbali mwilini na hii husaidia ufanisi Wa kazi za moyo,kurekebisha na kujengeka kwa mifupa na kazi za misuli,kuboresha hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume,kusafisha sumu mwilini na kupunguza kasi ya uzee.

FAIDA ZAKE:-
1:Ni kirutubisho muhimu sana mwilini kinachosaidia afya na kuimarisha mifumo mbalimbali katika mwili hivyo kufanya ufanisi uwe imara.

2:Inasaidia na kuimarisha mfumo Wa kinga mwilini.Nitric oxide kutoka kwenye L-Arginine inatumiwa na chembe hai nyeupe za damu na seli nyinginezo kupambana na magonjwa yanayoweza kutokana na bacteria. Nitric oxide inafanya seli hizi kuwa imara.

3:Inasaidia kuimarisha mfumo mzima Wa msukumo Wa damu katika moyo.Nitric Oxide inafungua mishipa ya damu hivyo kupunguza kasi ya presha ya damu.

4:Inasaidia katika suala zima la ukuaji na uimarishaji Wa mifupa na tishu
5:Nitric Oxide inayokana na L-Arginine inasaidia mzunguko mzuri Wa damu hivyo kusaidia katika suala zima kwenye tendo la Ndoa.

6:Inajenga na kuimarisha misuli kwa kupunguza kiasi cha mafuta yasiyohitajika.L-Arginine inassaidia mwili kuzalisha protini inayoitwa creatine inayosaidia kuimarisha misuli na kuifanya iwe na nguvu.Inasaidia pia mwili kuondoa creatinine ambayo ni uchafu unaotokana na utengenezaji na uimarishaji Wa misuli.Hii ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake wapenda michezo.

7hupunguza kasi ya kuzeeka na kuimairasha ngozi .
.

Bertha Bersy
Bertha Bersy
Member Since 15. May '19 8 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.