Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Tuesday, 16:44
Ad ID: 1819591

Mmb powder dawa ya vidonda vya tumbo

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Description

Matumizi ya Dawa ya MMB Powder:-

Kabla ya kuanza matumizi ya dawa hii tunapenda kutoa ushauri ufwatao kwa muhusika anae enda kutumia dawa hii.
⚫Awe amepiwa Vipimo vifwatavyo kabla ya kuanza kutumia
✅H.pylori – uwe umethibitika una huyu Bacteria.
✅Typhoid – kama unayo hakikisha umeitibu na kupona.
✅Amoeba – kama unayo hakikisha umeitibu na kupona.
⚫Unapo anza kutumia dawa yetu hii epuka matumizi ya vyakula vyote vinavyo sababisha uzalishaji wa aside mwilini mfano, maharage, chai ya rangi, kahawa, dagaa, pilipili, Mvinyo navyakula vingine kwa muda wa siku 14. Za kwanza
⚫Katika siku ya kwanza mpaka 14 utatumia kopo la kwanza huku ukiepuka matumizi ya vyakula hivyo. Unapo anza siku ya 15 kwenda 28 unaweza tumia sasa vyakula ambavyo ulikua huwezi kula au kunywa.
⚫Kutwa dawa utatumia mara tatu, unaweza chanaganya kwenye:-
✅Uji
✅Maji ya moto
✅Chai
✅Mboga Mboga za majani au zisizo na mchuzi
✅Unaweza kulamba tu kwa sababu haina uchungu wowote.
⚫Kama unavyo ona Imethibitishwa na mkemia mkuu wa serikali pamoja na TBS.
⚫Kama una kifua pia unaweza itumia kutokana na imekuwa ikitibu na magonjwa mengine siyo tu Vidonda vya tumbo. Wapo walio toa ushuhuda wao kwa matatizo kama kifua, Miguu kuwaka moto, Kisukari pamoja na pressure nakunyunyuzia kwenye vidonda.
⚫Unapo maliza Dose kumbuka kurudi hospitali na kumpima tena kuangalia maendeleo yako. Natumaini utakua shuhuda mzuri pale unapo tumia Dawa hii.
⚫Tunatanguliza shukran zetu za dhati kwa kutuamini na Mungu akubaliki.
⚫Unaweza kutufollow Instagram @mmb_dawa_ twitter @MMbPowder facebook @mmbpowder

Price 30000 dose
Asante

Mmb Powder Enterprises
Member Since 6. Jul '19 4 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.