Vifaranga Bora vya Kuku Chotara

TSh 2,000
Ad ID
765245
Posted at
6. Jul, 09:49
Details
Price negotiable
Yes
Location
Dodoma Mjini Dodoma
Description

Vifaranga bora vya kuku chotara vinapatikana Dodoma
Pata vifaranga bora kabisa Chotara vya kuanzia siku 1 na kuendelea kwa ajili ya utagaji mzuri wa mayai ya kienyeji.

Pia tunapokea oda za mayai ya kuku/kanga/Bata kwa ajili ya kutotolesha, mashine zetu zina uwezo mzuri sana wa zaidi ya asilimia 85% wa kuangua mayai.

Tuwasiliane kwa simu

David
Member Since 15. Aug '14 1 Active Ads 1 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.