Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Vifaranga Wa Kuroiler Wanapatikana

TSh 2,500
Ad ID
1214516
Posted at
9. Nov '18, 11:09
Details
Price negotiable
No
Delivery Offered
Yes
Location
Morogoro Mjini Morogoro
Description

Jikwamue kiuchumi na ufugaji bora wa kuroiler

  1. Wanakua haraka ndani ya muda mfupi

  2. Wana Uzito Mkubwa 3.5-5kg ndani ya muda mchache

  3. Wanataga sana hufikisha mayai 250 kwa mwaka

  4. Mayai yao yanauwezo wa Kutotoleka kwani yana mbegu 95%

  5. Wana uwezo mkubwa wa Kuvumilia Magonjwa.

  6. Unaweza kuwafuga katika eneo lolote, lenye Baridi au Joto.

  7. Hukua Zaidi ukilinganisha na breed nyingine.

  8. Hufugwa kwa Nyama na Mayai.

DrKessyVet
Member Since 19. Oct '17 100 Active Ads 100 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.