Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Kuku Kuchi Available

TSh 0
Ad ID
1211737
Posted at
6. Nov, 16:04
Details
Price negotiable
No
Delivery Offered
Yes
Location
Morogoro Mjini Morogoro
Description

Kuku aina ya KUCHI

Hawa ndio Kuku wanao uzwa gharama sana

Sifa yao ni shingo ndefu, mdomo kama wa kasuku na wakisimama mgongo uwa wima

Mara nyingi kifuani huwa na manyoya machache

Kwa nchi za uwarabuni wanawatumia sana kwenye makasino kuwapambanisha

Wasiliana nasi kama unawaitaji + Karibu tukuhudumie tuna wataalamu walio wenye uzoefu wa kutosha. + Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups, ili uendelee kujifunza mengi na kukutana na familia ya wafugaji

Contact Seller For Price

DrKessyVet
Member Since 19. Oct '17 100 Active Ads 100 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.