Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

352 Eggs Incubators

TSh 1,350,000
Ad ID
567593
Posted at
20. Sep, 09:16
Details
Price negotiable
Yes
Location
Ilala, Tabata Dar Es Salaam
Description

Ni mashine mpya na zenye ubora wa hali ya juu. Ni full automatic na zinatumia gharama ndogo za umeme. Sasa zipo mashine za mayai 352.
Sifa za mashine:

  1. Zina kompyuta ndogo ya kudhibiti kiasi cha joto na unyevu.
  2. Zina feni mbili ambazo husamabaza kiasi sawa cha joto na unyevu kwenye mayai
  3. Zina mfumo wa kugeuza mayai ili yapate kiasi sawa cha unyevu na joto.
  4. Zinatotolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na ya ndege wengineo.
  5. Huweza kuhifadhi joto mpaka masaa 5 mara baada ya kukatika kwa umeme.
  6. Zina ufanisi wa kutotolesha mayai kwa hadi 95% ya mayai kulingana na ubora wa mayai.
    Waranti miezi 6 na tunatoa ushauri bure. Mashine zina spea za ziada kama Temperature heater, Egg candel, Humidity heater, na limited switch).
    Bei zetu ni poa sana. Tunapatikana: Mwananchi Relini-Mandela Road nyuma ya ukumbi wa Hepenon -Dar es salaam. Tunatoa usafiri bure kwa maeneo ya Dar na kama upo mkoani utalipia kiasi cha gharama za usafiri.
Eco Farms Innovatives
Member Since 2. Sep '15 2 Active Ads 7 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.