22. Feb, 20:43
Ad ID: 2538522
TSh 80,000

Yuhnzi

Mbeya Mjini Mbeya
Seller offers delivery

Popote tunakufikia kwagarama nafuu

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE)

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke hivyo na hivyo kufanya utendaji kazi wa mwili kubadilika.

Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni za Estrogen, Progesterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

VYANZO/SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni:

 • Uwepo wa sumu mwilini
 • Mfumo mbovu wa maisha
 • Umri
 • Kukoma kwa hedhi
 • Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku
 • Uzito mkubwa au uzito mdogo mno
 • Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
 • Msongo wa mawazo
 • Upungufu wa lishe mwilini
  -Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
 • Utoaji wa mimba
 • Family History

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni kama vile:

 • Ukavu ukeni
 • Maumivu wakati wa tendo la ndoa
 • Kutoa jasho usiku
 • Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
 • Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
 • Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7.
 • Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
 • Uchovu wa mara kwa mara
 • Hasira za mara kwa mara
 • Kukosa usingizi
 • Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
 • Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
 • Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
 • Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipeleā€¦ n.k)
 • Maumivu ya viungo
 • Upungufu wa nywele kichwani.
 • Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
 • Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
 • Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
 • Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
 • Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
 • Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
 • Maumivu ya kichwa mara kwa mara
 • Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
 • Kutokupata choo kwa wakati

MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
-Mimba kuharibika mara kwa mara;
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
-UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Saratani
-Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

SULUHISHO: suluhisho hutolewa kulingana na chanzo cha tatizo pamoja na ukubwa wa tatizo, kupata suluhisho wasiliana nasi kwa namba .

Gift joseph
Member Since 5. Feb
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.