Tuesday, 02:30
Ad ID 3499064
TSh 290,000

water pymps

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Hizi Ni pump zinazotumika Kwa Visima vya Kuchimba Kwa mkono / Kupandisha Maji Juu, Kuzibua Vyoo, Wapo wanao tumia Shambani kwa Umwagiliaji,Kutumika Kutoa maji kwenye Tank Moja kwenda Lingine n.k ..
Zipo Aina Mbili za Pump ( Za maji Machafu Na za Maji Safi ) / Za Maji Safi zinakua na Impeller Ndogo, Na Za maji Machafu zinakua na Impeller Kubwa.. (Hizo kwenye Picha Ni zenye Impeller Kubwa,Hivyo Unaweza Kutumia kwa maji Machafu au Masafi.. Popote Ulipo Nje ya Mkoa Wa Dar tutakutumia, Kama upo Dsm unaweza Kufika Dukani,Mbezi beach africana. Call & WhatsApp
Pia pump zetu zinatumia umeme au genereta.

WONDERFUL GROUP LIMITED
Member Since 21. Aug '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.