10. Feb, 11:20
Ad ID: 2487901

wakala wa ununuzi na ukusanyaji vyuma chakavu

Other Dodoma District Dodoma
Description

TITBC LTD- Inatoa nafasi za kazi kwa mawakala wa ununuzi wa vyuma chakavu, popote nchini na popote ulipo kwa vigezo vifuatavyo;,

 1. Awe mtanzania
 2. Awe na makazi maalum popote nchini.
 3. Awe na leseni ya kufanya biashara ya kukusanya vyuma chakavu kutoka mamlaka za serikali
 4. Awe ana uzoefu ama hana uzoefu ili mradi awe na vigezo hapo juu.
 5. Awe mlipakodi mwema na awe tayari kukusanya tani moja kwa kila mwezi.
 6. Awe na mtaji wa kati ya Tshs 1,000,000-5,000,000 Pia awe na akaunti benk inayotambulika na serikali.

MASHARTI

 1. Wakala atakuwa tayari kusaini mkataba wa kukusanya vyuma hivyo mfululizo kutokana na makubaliano ya mkataba na kampuni
 2. Wakala atatakiwa kukamilisha lengo la makusanyo kutokana na makubaliano ya mkataba.
  3 Wakala atatakiwa kuwa mwaminifu katika shughuli ya ukusanyaji, na kulipa stahiki kwa wadau anaoshirikiana nao katika shughuli hiyo kwa upande mmoja
 3. Wakala atalipwa na Kampuni kila mwisho wa makabidhiano ya vyuma hivyo na kampuni kutokana na uwezo wake wa ukusanyaji.
 4. Bei ya kilo moja itaelekezwa katika mkataba.

Nafasi za mawakala ni chache, Ewe Mtanzania mwenye nia ya kujiajili, tafadhali karibu ushiriki katika kujenga uchumi wa Taifa lako.

Maombi yako yatumwe kwa:,
MKURUGENZI MTENDAJI
TITBC LTD
P.O.BOX-
BAHI-DODOMA

TITBC LTD
Member Since 9. Feb
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.