9. Jun, 11:47
Ad ID 2944337
TSh 200,000

VYUMBA MASTA+SEBULE+JIKO VINAPANGISHWA

Dodoma Mjini Dodoma
Details
Price negotiable
No
Terms
Monthly in advance
Description

CHUMBA MASTA+SEBULE KUBWA+JIKO INAPANGISHWA

MAHALI-CHANG'OMBE EXTENSION-KWA WASIOKUFAHAMU HUKU SIO USWAHILINI NI MTAA WENYE NYUMBA MPYA TUPU NA USALAMA MKUBWA.INAPAKANA NA NKUHUNGU

SIFA ZA NYUMBA
-VIKO VYUMBA MASTA+SEBULE+JIKO VYA NJE KILA KIMOJA KINAJITEGEMEA MLANGO

-VYUMBA NI VIPYA HAVIJAWAHI KUKALIWA NA VIKO KWENYE FINISHING NDOGO NDOGO KAMA KUPAKA RANGI,KUFUNGA SINK,N.K

-HAKUNA MWENYE NYUMBA NI WAPANGAJI TU

-VIKO WAZI VIWILI(2)

HUDUMA
-MAJI 24/7
-UMEME 24/7
-PARKING SPACE IPO
-VIKO NDANI YA FENSI

BEI-200,000@MWEZI

MUDA WA MALIPO-MIEZI 3+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA

GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=

NB-RUHUSA KUONA+KULIPIA BAADA YA SIKU 5 UNAWEZA HAMIA

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Member Since 30. Dec '15
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.