MRADI MPYA!!!
GEZAULOLE BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo Gezaulole.
-Umbali ni 15km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa na vina beacons.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Full upepo wa bahari.
-Bei ya square meter moja ni 35000.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ukiigawanya kwa kila mwezi.
ZINGATIA:
Viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita 200 toka baharini na view ya bahari unaiona kwa uzuri na ukaribu.
KARIBUNI SANA?
Learn about new items, custom picked just for you.