?MRADI MPYA!!!
BUYUNI BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri,wa kuvutia sana na unaogusa maji.
-Mradi upo Kigamboni Buyuni.
-Umbali ni 50km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Mradi umepimwa.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Full upepo wa bahari.
-Bei ya square meter moja ni 30,000.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ukiigawanya kwa kila mwezi.
Karibuni tupate upepo wa bahari.
?Ofisi zetu zipo Ubungo Mawasiliano Mkabala na Stendi ya Daladala.
KARIBUNI SANA?
Learn about new items, custom picked just for you.