Thursday, 15:46
Ad ID: 2650401
TSh 4,000,000

VIWANJA VIZURI VINAUZWA MILIONI 4 KIGAMBONI, MALIPO NI KIDOGO KIDOGO

Temeke, Somangira Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
400.0 m²
Description

MRADI MPYA
-KIGAMBONI-MWEMBE MDOGO
-Mradi upo karibu na Chuo cha Afya Kigamboni.
?‍♂️Umbali ni 700m toka main road.
?Viwanja vimepimwa.
Bei ni Tshs 10,000 kwa square meter moja ambapo kwa square meter 400 yaan 20 kwa 20 ni 4,000,000.
-Bei ya square meter 500 ni milion 5.
?Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama kwa mkopo ambao utatoa 50% na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 6 ama mwaka.
KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.