21. Mar, 18:29
Ad ID: 2604975
TSh 1,600,000

VIWANJA VIZURI VINAUZWA MILION 1.6 KIGAMBONI MWASONGA-MKAMBA

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
400.0 m²
Description

MRADI MPYA
-KIGAMBONI-MWASONGA MKAMBA.
-Mradi upo mbele kidogo ya shule ya Msingi Mkamba.
?‍♂️Umbali ni 5km kutoka Mwasonga Center.
?Viwanja vimepimwa.
Bei ni Tshs 5,000 mkopo na 4000 cash kwa square meter moja ambapo kwa square meter 400 yaani 20m kwa 20m ni 2,000,000 mkopo na 1,600,000 cash.
-Bei ya square meter 600 ni milion 3 mkopo na 2,400,000 cash.
?Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama kwa mkopo ambao utaanza 50% na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
SITE VISIT ni kila siku ila JUMAMOSI ndio siku rasmi.

KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.