8. Jun, 10:10
Ad ID 2939259
TSh 14,000,000

VIWANJA VIZURI VINAUZWA MADALE MIVUMONI

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
400.0
Description

MRADI MPYA!!
MADALE MIVUMONI.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1.5km kutoka barabara kuu ya Madale to Wazo Hill.
-Viwanja vimepimwa,barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii kama shule,soko zote zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 35,000 cash au 40,000 installment kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 4 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Ubungo Mawasiliano Mkabala na Stendi ya Daladala.
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.