MRADI MPYA!! KIGAMBONI KISARAWE II - KIGOGO
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 18km toka Kigamboni Ferry na 100m toka main road(Mwasonga road)
-Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 20,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Contact:
KARIBUNI SANA ?
Learn about new items, custom picked just for you.