JAMBOLAND REALTY ni wauzaji na wakopeshaji wa viwanja na mashamba bila riba wala dhamana.
MRADI MPYA!!
KIGAMBONI DAR ES SALAAM ZOO.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 18km toka Kigamboni Ferry na 1km toka main road.
-Viwanja vimepimwa na vina beacon kabisa.
-Ni pazuri sana na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei ni Tshs 8,000 kwa square meter moja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 30 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja na nusu ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni kila Jumamosi.
Ofisi zetu zipo Mikocheni A karibu na hospitali ya Kairuki.
KARIBUNI SANA ?
Learn about new items, custom picked just for you.