14. Apr, 11:46
Ad ID: 2674473
TSh 1,800,000

VIWANJA VIZURI VILIVYOPIMWA VINAUZWA MILION MOJA KIGAMBONI BUYUNI

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
400.0 m²
Description

MRADI MPYA!!
KIGAMBONI BUYUNI- KANISANI.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1km toka Buyuni center.
-Viwanja vimepimwa.
-Barabara za mtaa zimechongwa na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.
-Bei ni Tshs 4,500 cash na 6000 installment kwa square meter moja.
-Kiwanja cha square meter 400 ni 1,800,000 kwa cash na 2,000,000 kwa installment.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 18 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Kinondoni Biafra .
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.