23. Jan, 18:06
Ad ID: 2442496
TSh 24,000,000

VIWANJA VIZURI SANA TENA SANA VINAUZWA GOBA KINZUDI

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
640.0 m²
Description

MRADI MPYA!!
GOBA - KINZUDI
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1.5km toka barabara ya lami(Goba road).
-Viwanja vimepimwa kwa ukubwa tofauti tofauti.
-Ni pazuri sana na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei ni Tshs 35,000 cash na 37,000 mkopo kwa square meter moja.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 6 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni kila siku ila #JUMAMOSI ndio siku rasmi.
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.