27. Jun, 14:38
Ad ID 3009528
TSh 3,000,000

Viwanja viwanja viwanja

Temeke, Toangoma Dar Es Salaam Tuangoma kilimahewa
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Serikali za mitaa
Price per square unit
No
Square units
0.0
Description

Tunauza viwanja.viwanja vipo tuangoma kilimahewa Temeke Dar es salaam.viwaja vipo umbali wa kilometer moja tuu kutoka barabara kuu ya lami iyendayo kigamboni inayotoka kongowe,kituko tuangoma msikitini.

Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 3 kwa kiwanja chenye ukubwa wa futi 50x50

Karibuni sana, viwanja vipo mjini.kuna maji na umeme.Yani ni kiasi cha kujenga tu na kuhamia.yooote Tisa,kumi bei zetu kama unavyoziona ni rahisi rahisi Sanaa, ukilinganisha na mazingira halisi ya viwanja vyetu,

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Sele Biliani
Member Since 26. Jun '18
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.