VIPO -DAR ES SALAAM Tz
MAHALI-SALASALA KWA MBOWE
UMBALI KM 1 TOKA BAGAMOYO ROAD PIA MITA 50 TOKA BARABARA KUBWA YA LAMI MPAKA KWENYE ENEO
VIKO VIWANJA VITATU SEHEMU MOJA VILIVYOFUATANA VILIVYOPIMWA UKUBWA NA BEI TOFAUTI VYENYE HATI SAFI
A/-CHA KWANZA;- SQM 2714 BEI YAKE TSHS MIL 250
B/-CHA PILI;- SQM 1167 BEI YAKE TSHS MIL 140
C/-CHA TATU;- SQM 974 BEI YAKE TSHS MIL 100
D/-MTEJA ANAWEZA NUNUA VYOTE VITATU JUMLA SQM 4855 KWA TSHS MIL 450
#NB/-ENEO ZURI SANA VERY POTENTIAL KIBIASHARA LIKE SUPERMARKET, MALL YA BIASHARA, UJENZI WA SHULE, HOSPITAL NA VINGINEO VINGI INCLUDING MAKAZI (NYUMBA YA KUISHI
Learn about new items, custom picked just for you.