21. May, 09:05
Ad ID 2883168
TSh 24,920,000

Viwanja vinauzwa madale mivumoni

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Ubungo mawasiliano
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
712.0
Description

?NEW PROJECT MADALE MIVUMONI.

-VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA & VINA HATI KIANZIA 400SQM(meter/miguu 20*20) NA KUENDELEA.

-1.5KM KUTOKA BARABARA YA LAMI.

-MALIPO YANAFANYIKA KWA FULL PAYMENT AU KWA INSTALLMENTS KWA MUDA WA MIEZI SITA (3)KWA KUANZA NA 50% CASH PAYMENT.

-BEI NI 35,000tsh. Kwa SQM.kwa malipo ya cash na 40,000 tsh kwa installments miez mitatu(3)

-HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA.

-SITE VISIT NI SIKU YOYOTE NA HAKUNA TOZO YOYOTE UTAKAYOLIPIA .

-kiwanja kimebaki kimoja cha sqm 712

MAWASILIANO

WAWEZA KUTEMBELEA KATIKA OFFICE ZETU.
-Tunapatikana opposite na geti la kutoka mawasiliano bus stand.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Granite property limited
Member Since 13. Feb
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.