22. Jan, 20:38
Ad ID: 2440449
TSh 4,000,000

VIWANJA VINAUZWA MADALE MILION NNE TU

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
400.0 m²
Description

MRADI MPYA!!
MADALE - MBOPO.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 1km toka barabara ya kuu.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-Ni pazuri sana na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Eneo ni tambalare kabisa.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei ni Tshs 10,000 kwa square meter moja.
-Bei ya square meter 400 ni milion 4 tu.
MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 6 ama mwaka mmoja ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni kila siku ila #JUMAMOSI ndio siku rasmi.
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Member Since 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.