25. Jun, 12:39
Ad ID 3004025
TSh 6,400,000,000

Viwanja vinauzwa kigamboni Gezaulole

Kinondoni, Mabibo Dar Es Salaam Mabibo opposite na CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
400.0
Description

MRADI MPYA!!
KIGAMBONI - GEZAULOLE.
-viwanja vimepangwa na kupimwa kuanzia sqm 400 nakuendelea
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Umbali ni 2km kutoka barabara ya lami.
-Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana.
-Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi.
-Viwanja vimepimwa,vina beacons na barabara za mtaa zimechongwa.
-Bei ni 16,000 kwa square meter moja.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
NJIA ZA MALIPO.
Mteja unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 6 ukiigawanya kwa kila mwezi.
#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Ofisi zetu zipo Mabibo mkabala na Chuo cha Usafirishaji (N.I.T)

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Granite property limited
Member Since 13. Feb
Verified via:
Mobile Number
Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.