15. Feb, 16:37
Ad ID: 2511024
TSh 17,000 / m²

VIWANJA VINAUZWA KIBAMBA HOSPITAL

Kinondoni, Kibamba Dar Es Salaam #PLOT ZINAUZWA KIBAMBA HOSPITAL ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃ Viwanja viko: KIBAMBA HOSPITAL. --- Viwanja viko KIBAMBA km 2.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo. --- Viwanja viko sita kuanzia, sqm 1,300 na sqm 1,650. --- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki. --- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k. --- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja. --- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa. --- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde. --- Bei: Tsh. 17000kwa sqm 1 --- Hati miliki itaandaliwa kwa jina la mteja baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja. --- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote.
Details
Price negotiable
Yes
Reference
VIWANJA VINAUZWA KIBAMBA HOSPITAL
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
Yes
Square units
13,000.0 m²
Description

#PLOT ZINAUZWA KIBAMBA HOSPITAL
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

Viwanja viko: KIBAMBA HOSPITAL.
--- Viwanja viko KIBAMBA km 2.5 toka Morogoro road na ni karibu na ofisi ya manispaa, ubungo.
--- Viwanja viko sita kuanzia, sqm 1,300 na sqm 1,650.
--- Viwanja vimepimwa tayari na vina hati miliki.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 17000kwa sqm 1
--- Hati miliki itaandaliwa kwa jina la mteja baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samson Mushi
Samson Mushi
Member Since 23. Jul '18
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.