SWAHILI
#VIWANJA# VINAUZWA# KIBAMBA
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viiko: KIBAMBA HOSPITAL.
— Viwanja Viko karibu na morogoro road.
— Viwanja Vimepimwa tayari na Vina ukubwa tofaut tofaut viko
kuanzia mita za mraba 461 mpaka 10,19
— Viwanja Vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga/kuuza.
— Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu na plot
— Eneo lililozunguka plot tayari limeendelezwa.
— Bei: Tsh. 20,000/- kwa mita moja ya mraba
— Hati miliki utajaza fomu za maombi baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja
Learn about new items, custom picked just for you.