Saturday, 13:48
Ad ID: 2533535
TSh 6,500 / m²

VIWANJA VINAUZWA KIBAHA KWA MATHIAS

Kibaha Mjini Pwani
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
800.0 m²
Description

#PLOT ZINAUZWA KIBAHA KWA MATHIAC
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

Viwanja viko: KIBAHA KWA MATHIAC, VIZIWAZIWA
--- Viwanja viko Viziwaziwa km 3 toka Morogoro road na ni karibu na barabara ya chuo kikuu huria.
--- Viwanja viko katika ukubwa tofauti tofauti kuanzia mita za mraba 823 - 2,055.
--- Viwanja vimepimwa tayari.
--- Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, Nyumba za kupanga n.k.
--- Huduma za kijamii zinapatikana karibu na viwanja.
--- Eneo lililozunguka viwanja tayari limeendelezwa.
--- Viwanja viko tambarale,hakuna milima wala mabonde.
--- Bei: Tsh. 6,500 kwa mita moja ya mraba.
--- Utatanguliza 50% ya ya bei ya kiwanja, inayobaki utalipa taratibu kwa miezi sita.
--- Hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
--- Kwenda site kuona viwanja ni siku yoyote kwa Tsh. 15,000. ( Serious buyers only)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Member Since 30. Jul '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.