VIWANJA IHUMWA 100M TOKA LAMI KINAUZWA
MAHALI- #Ihumwa
IHUMWA-kwa wasiopafahamu ihumwa iko barabara ya Dar mahali ambapo ipo kambi ya jeshi
KWANINI UNUNUE IHUMWA?
-makao makuu ya Wizara mbali mbali yako mtumba ambako ni karibu kabisa na ihumwa
-uwanja wa mpira mpya utakaojengwa kisasa na mkubwa kuliko yote dodoma uko jirani na ihumwa
-Stand kuu ya jiji la dodoma(nane nane) iko jirani na ihumwa
-Bandari kavu
-Soko kuu la afrika mashariki(Job ndugai) liko jirani na ihumwa
-viwanja hivi vilipo viko karibu kabisa na hotel mpya ya kisasa inajengwa
-ardhi yake ni tambarare kabisa na hakujai maji
-Na mengineyo mengi,hayo ni baadhi tu
UMBALI TOKA TOWN-13Km toka town centre
UMBALI TOKA LAMI-100m via CDA road(dakika 4 kwa mguu)
UKUBWA WA KILA KIWANJA-800sqm
HUDUMA-maji+umeme viko jirani
DOCUMENT-kumepimwa,beacons zimewekwa na hati inatoka kwa jina lako
MATUMIZI-makazi
BEI-13,000,000/=(MAONGEZI YAPO)
MFUMO WA MALIPO-CASH
Learn about new items, custom picked just for you.