Viwanja VIWILI viko miganga Vinauzwa
Miganga ina umbali wa kilomita 5 tu mpk town center. Viwanja ni vizuri sana vimenyooka
Cha sqm 450 bei milioni 5 na nusu
Cha sqm 570 bei milioni 6 na nusu.
Kama unahitaji nipigie Simu tuzungumze
Learn about new items, custom picked just for you.